Traders wamepata losses in millions after a fire broke out again at the Gikomba Market.
Watu wengi huchukua stock yao in Gikomba coz ni cheaper.
Pole sana kwa wale shugli yao imekua affected.