
Trading crypto/forex๐๐ inatake time na msee yeyote anaweza learn bora ukuwe consistent na usiwaste resources zako kama bado unalearn.โ
Inafaa unaitreat kama shule๐๐ซ at first, halafu ukishakuwa profitable, unaitreat kama biz๐ธ๐ฑ.
Kwa wale tumeamua hii ndio hustle, Lock in!

0
0
0