
TRANSFER NEWS......
Teams zimeanza kununua players bana. Tumeona Lenny Yoro and Zirkzee to Man united, Chelsea wamenunua Adaribioyo kutoka Fulham na pia tumeona Arsenal na Carlifliori... Ni player mgani unrepentant sana Team yako inunue????
#SokaMesh

0
0
0