
Trial and Error. Enyewe hii life ni kujaribu. I remember kuna time nilianza kuuza tubags(purse and handbags), Out of zote niliuza tu kamoja nukabaki na hizo zingine mi huzivaa😂. I advertised online and all the other things people on business do but haiku bear fruit. Anyways in the near future I think ntaijaribu tena tuone vile kutaenda this time. Ama maybe I'll go with a new strategy.
0
0
0