
Tricks za kuhepa Makanjo.
- Kulipia licence on time (ile daily payment or nachukua Tu ya mwaka one time)
- Nakata risiti ya daily but kuna days nawahepa. Pia kuna days huwa hawakam.
- Nakuwa timing na wao. Huwa tunachanuana wakikam so tunafunga biz Hadi waende.
- Kuset bizna place Makanjo hawasumbui sana. Kama nje ya CBD.
0
0
0