Truth ni hii:
Customer hurudi si juu ya sandals tu, ni vile unamfeel 😌👡
Kwa shop yangu nafanyanga hivi:
- Nawauliza wateja design/colors wanapenda zaidi
- Nikileta stock mpya, nawatumia pics WhatsApp vile fashion plug
- Ata kama mtu hajabuy, namtreat poa so akipata doh anarudi tu kwa Ibrah
Wasee wa MESH mna-sell nguo, viatu, accessories…
Mnatumia tricks gani kufanya customers warudi na mabeshte zao pia? Drop ka-tip moja hapa chini 👇
0
0
0