
Tsup Mashers, me ni journalist and actor by profession lakini nachapa hustle kama warehouse manager besides that Niko na side hustle ya kujenga furnitures za pallets poa poa na zenye zinavutia.
Hii deal sichapi solo, nimeemploy wasee wawili wenye tunapush nao vifine.. hopefully before mid year.. nitakuwa fully self employed.juu besides that pia nadeal na fish
Tuchapiane Meshers, unadai viti za pallets ama meza, tv stands baaas alafu beds🛏️ Tulink 07684071058


0
0
0