
Tuchanuane Tuesdays๐๐๐๐Kuna rafiki yangu fulani amekuwa na target before end of 2022 akuwe ashastart biz yake๐ช๐ช๐ช
So mimi nikamwambia #biz ya butchery inaweza kuwa fty sana coz pale mtaani kuna butchery kama nne pekee ๐ค๐ค๐ค ni #ideas gani unaweza mchanua nazo pia ndio hii hustle yake isimfanyie character devt ๐๐
Form ni kujengana ๐ฏ๐ช

0
0
0