
Tucheki feedback ya @[ Kivaya] hapa....
Nachek system imekua fiti sana!
Sasa Connections za fellow #Hustlas ziko smooth sana na pia ku-access #ShujaazBiz units iko poa. Looking forward to more videos kwa hio segment.
Ku-post ideas/challenges kwa Biz na pia ku-follow up na comments iko noma sana, save for a few bugs like hii ya kuji-copy paste ukijaribu ku-edit text, which najua wasee wa system wana-fix.
App sasa ndio the next stage MESHer's tutajengana saana. Impressive ku-check growth hapa. #SystemUpdates #ShujaazBiz #ShujaazTalk
0
0
0