
#Tujijenge
How is this business ya kuuza mayai pasua..😊
Some uhawk nazo kwa ndoo za colourless hadi wanaingia nazo kwa public cars while wengine huzizungusha na trolley za jua kali.
Kuna some 4 tips unaeza check out ili bizna yako ipick up.
1.always sell fresh products ie mayai isikue imelala.
2.ongeza madoido eg kachumbari na dania for a sweet taste
3.maintain proper hygiene for attraction ya customers.
4.service.serve customers wako poa with patience
- Dont forget mayai pasua ukua tamu ikiwa moto

0
0
0