
Tukafunge wiki na favorite segment; SPICES. Na leo will talk about DILL ama vile tumezoea BIZARI kwa swahili. DIll ni popular herb yenye utumiwa kwa kupikia and pia kama dawa. Inapatikana either kwa majani, seeds ama powder. Ukuwa used ku add flavor na aroma kwa dishes kadhaa juu iko na distinctive flavor yenye wengi u'describe kama slightly sweet na bitter.
Unaeza tumia Bizari kwa fish dishes, soups, salads, and pickles. Na upande wa dawa, DIll utumika kutibu anti-infammatory, anti-spasmodic, and digestive properties, ama generally kwa digestive issues.
Uko na favorite spice ungependa we talk about, please share kwa comment section

0
0
0