
TUKIFIKA UPANDE WA "Jewellery"
This year ni poa ku consider customer wako na health yake pia.
When you are selling earrings be on the look out 👀, kaa rada ujue types of metals and also how to sell it, kuna taitanium, platinum, gold, silver, graphite, copper, coated and stainless also pia ukiuza make sure unajua pia kama customer wako akona any allergy to any type of metal
With this information trust me utaweza kuuza vipoa and also the referrals utapata itakua fiti
HAVE A PRODUCTIVE YEAR!!!!!!!!!
#FormNiKushowResults💯

0
0
0