
Tukiwa kwa same spirit ya #Kujengana, ni market strategy gani ushawahi ona kwa biz ya msee ukakuwa ile design "WOW". Mimi niliona na beste yangu u bake Cakes. Yeye ame keep Birthday records za clients wake wooote inlidung watoi. So a day prior u text msee akimshow like "birthday ya dem yako iko kesho ni aje tukuundie cake leo". Awesome idea ni gani ushawahi check ika ku blow ya mind ndio tujifunze from it. #SisiNiMesh

0
0
0