
Tuko Live as promised 🔥🔥 Discussion ya leo ni #Biz ya #Photography na #Videography featuring #MESHers wawili wa nguvu @[Clifford Okeyo] na @[Bee Hum] wenye wamekua wakichapa hii #Biashara. Watashare na sisi the progress so far, #Lessons wame-learn na #Solutions za kujitoa kwa noma na ku-improve #Biz.
Tell a MESHer to tell a MESher! Comments, ideas na suggestions ziko welcome, hii ni #Community ya kujengana! 💪💪 #MESHMentors na host wetu wa nguvu kama kawaida @[Captain Ashok]
0
0
0