
Tuko Live as promised ⏰ Na leo ndani ya #MESHMentors tunachapiana kuhusu #OnlineBusiness na vile tunaeza tumia #Mtandao ku-make #Doh. 💰💰 Host wetu wa nguvu kama kawaida @[Captain Ashok] anabonga na #MESHers wa nguvu @[Johnson Chigamba] na @[Byron Osomo] kuhusu;
-Vile walianza #Biz zao online. -Challenges wameface kwa #Biz so far. -Vile uneaza avoid conmen online.
Tune in comment, ndio tujengane 💯💯
0
0
0