
Tuko Live!! 🔥🔥 Leo conversation yetu itakua around #Biz ya #Salon na #MESHer wetu mtrue @Janet Akinyi. Atatuchapia vile alianza hii Biashara yake, vile ali-get capital na pia advice kwa wasee wote wenye wanadai ku-join hii industry! Tune in, comment, uliza maswali zako zote! From ni #Kujijenga Host wetu wa leo ni @[Captain Ashok] !! 💪💪
Tell a MESHer to tell a MESHer! 💯
#MESHKonnect #SalonBusiness #BizLoans
0
0
0