
Tuko Live na @[Captain Ashok] 🔥🔥 Topic ya leo ni #BizYaEntertainment. Kama unafikiria kuanza ama kuboost Biz yako ya Entertainment, usi-worry, tume-get wasanii wawili wa nguvu 💪💪 hapa #MESH by the names of @[Victor Okeyo] na @[Megalink Production] kuchanua wasee!🎤🎼 All the way from kutambua talanta to kutafuta capital mpaka kwa kuji-market. 💰💰
Changia na questions ama ideas zako na Community ya MESH iko ready #Kukujenga! 💯 #EntertainmentBiz #MESHKonnect
0
0
0