
Tuko live!! na tukona show moto ππ₯ Tune in usikie vile @[Harriet Sammantha] @[Jared Monari] na @[Peter Waithaka] ni change makers mtaani π Wanatuchapia vile wanamake a difference kwa community yao, impact wana-make, challenges wanapitia na inspiration yao ya kumake a difference. React, comment and share ideas cause tuki-come pamoja, we are STRONGER πͺπΏπͺπΏ #SisiNiMESH
0
0
0