
Tuko Live 🎙️ ndani ya #MESHkonnect! Leo tunabonga juu ya #Maximizing👌. Unaeza aje chapa #Biz ya #Cyber🖥️💻 + #MovieShop📀? Kuna MESHers wamejaribu na wakafaulu. Experts wetu kwa hii show ni @[Henry Odanga] na @[samuel kibet] .
So far MESHers wengi wameuliza maswali mob vile unaeza anza #MovieShop kama; Nta-get movies aje? Ni equipment’s gani nafaa kutumia? Target customers ni nani? What licenses do I need? Where is the best location? How much do I need to get started?
Hizo maswali zi-come mi ni host wenu @[Captain Ashok] twende kazi👇👇
0
0
0