
Tuko Live Ndani ya #MESHKonnect na host wetu @[Captain Ashok] 🙌 Discussion ya leo ni kuhusu #Biz ya Pig Farming #Agriculture kama hustle. @Godfrey Kimathi na @[Jesse Wekesa] watatuchapia vile walianzisha Biz zao za #PigFarming, challenges wamepitia so far na vile wali-solve hizo challenge. Watakua online na sisi, feel free kuuliza maswali na pia kuchangia discussion 💯. Hii ni Community ya kujengana! 💪💪
0
0
0