
Tuko #LIVE ndani ya #MESHKonnect na topic ya leo ni moto kama pasi 🔥🔥 tunabonga na wazito wetu @ Kivaya na @Yassin Isaa na leo wanatuchapia story zao za kuanzisha #Biashara ya #CyberCafe💻🖥️ Tutachapiana;
-Vile unaeza source #Capital ya #Biz -Journey ya biashara ya Cyber Cafe
- Vile unaeza #Market Biz yako -Ku #Expand biashara
- Ku think differently
Tune in, uliza maswali na changia opinion yako.💯💯 Form ni #Kujengana #SisiNiMesh
0
0
0