
Tuko #LIVE🎙️ ndani ya #MESHmentorship 🔥🔥
Leo tuko na experienced #Mentor in #BizStartup @[A&A Bakers] Imagine akiwa Studeh 🧑🏾🎓 alianza Biz ya #Baking 🍞🥪/ #Pastry 🍰🎂 na capital ya 2Kna aka-sharpen knowledge kupitia online videos ku-build #Biz yake na sasa ameomoka.
Ask anything especially:
- #StartingBiz na bado wewe ni #Studeh🧑🏾🎓
- Ku-get #Capital ya ku-boost hustle
- #Marketing
- #ProductDifferentiation
- #Saving Mi ni host wenu @[Captain Ashok] tuchangamkie hii discussions. Maswali zi-land hapa👇👇👇👇👇
0
0
0