
Tuko live 🔥🔥 Tune in uskie vile @[Kelvin Mbaluto] anachapa #Biz yake ya ku-design cladi...anajiita #Fashionprenuer na ako na experience kibao kwa industry. We can learn a thing or two from him tujisaidie pia kujenga #Biz zetu 💯 React, comment and share your ideas pia! WE ARE STRONGER TOGETHER 💪🏿
Host wetu ni ule ule, @[Captain Ashok] #MESHMentors
0
0
0