Tuko na jobs za housekeeping za madem in Saudi Arabia. Lazima ukuwe between 21years na 35years. Pia lazima ukuwe na passport.