Tuko na startUp company ya Tours. Tunaplan kuvisit Children's home Kasarani tucheki watoi na mayouths kiasi. Tunaomba help ya anything kuboost maCandidates wanasit exams.