
Tuko season ya December, season ya kucelebrate our small wins all over the year. Here is a reminder
-
"Relax kidogo, hustle ni muhimu lakini si lazima uchome mafuta yote. Chukua breaks za ukweli na ujipange." Wanafaa kujua si lazima wafanye kazi non-stop. Rest ni muhimu pia.
-
"Usiforce issues, sio kila kitu lazima iwe perfect. Kuna next year bado, focus na kile unaweza fanya sai." Wajulishe December si mwisho wa dunia, bado kuna muda wa kurecover.
-
"Tafuta support, usijifungie solo. Zungumza na mabeste ama hata mtaalamu kama kuna stress mob." Kuwakumbusha kuzungumza inaweza kusaidia ku-clear stress.
-
"Jua health yako ni asset. Ukianguka, biashara pia ita-go down. Cheki diet yako, lala vizuri na ufanye activities za ku-clear mind." Wasaidie kuona value ya self-care kwa biashara yao.
-
"Kumbuka gratitude, ata kama biashara imekuwa ngumu, appreciate mafanikio madogo." Hii inasaidia ku-focus on positives.