Tukona mesher wa nguvu hapa @[Fred Kisiangani] Anadeal na electronic accessories na kadhalika.. Kama uko kwa hii biz link up na yeye akusort