Tuliambiwa El Nino inakam, some of us tukanunua bulk stock ya gum boots, umbrellas, jackets na jumpers, sasa tena nikama hakuna El Nino as we thought, hii stock yote iende wapi jamaniš£