Tulikuwa tunaambiwa hizi fruits ni poisonous tukikua watoto 😅 lakini sasa naona watu wanazikula bila shida. I still wonder, zinakuwaje consumed ama prepared mpaka zikue safe kula? Ama ilikuwa tu story za wazazi kutuzuia tusizikule? 🤔
0