
Tulisema kitchen tuipe respect yake ya usafi. A clean kitchen prevents spread ya bacteria na foodborne illness, usaidia ku maintain food quality and freshness, ina create pleasant and inviting atmosphere hadi unajipata unapika pika ovyo 🤣🤣 so tip ya leo ya Siri ya kuosha sink.... bicarbonate of soda for best results. My tips za keeping our kitchen clean please share kwa comment section.

0
0
0