Tuliwacha kifuli moja asubuhi na mapema tukienda skuli, mum na dad kutafuta cha kila siku. Jioni tukirudi tulipata vifuli mbili i guess landlord aliamua kutu keep more safer.😫
Lord have Mercy.