Tumia social media apps zote kumarket biz yako i.e Facebook, Instagram, WhatsApp, Twitter etc Ambia mabeshte zako wasambaze by word of mouth Offer services poa kwa clients upate referrals coz wataambia mabeshte zao pia wakupromote