
🙌Tuna-celebrate na ku-recognize women in biz on MESH.
-
Kama wewe ni woman in biz, tuma photo yako na utushow story yako ya biz
-
Kama unajua au una-support women wanafanya biz, wachapie kuhusu hii chance.
👇Washow watume photo na story ya biz zao:
WhatsApp +254114799684
💪TUJENGANE!

0
0
0