Tunaanza savings challenge! Join mbogi sasa!
From income yako au chapaa una-get daily, make sure unasave kakitu.
Ukisave 175 Ksh daily, utakua na kitu 5K saved in 4 weeks!