
Tunaingia new month sasa. Hapa ukikosa kujipanga vipoa unapatanga uko na hasira bure tu. Gas, food, rent zimeisha stress zinakutandika kaa nonzenz. Lakini ju mi hukua mjanja nataka kujipanga buana watu wakilia ju ya bills nikue na kasomething kanaingiza madoh. As you all know tuko in an era of AI. So which means vitu mob ziko simplified zinataka tu ka effort kiasi. Kama youtube automation. Nmeona a simple slide hapa inaeza kusaidia kama unataka kuanza youtube automation.Basicaly unafuata hizi simple steps
- Find your niche idea with ChatGPT.
- Find your niche in VidIQ, with high search volume and low competition.
- Create your Channel name/Brand with ChatGPT. 4.Create your logo with Canvas.
- Create video scripts with ChatGPT.
- Create your video with PictoryAI.
- Post on YouTube.

0
0
0