
Tuongee ukweli bana… iPhone 15 Pro Max ni 250K... Lakini kuna version ya 12K from China sasa nani ako na original?
Listen, Apple ni US.Lakini hizo simu zote including your shiny 15 Pro Max ya 250k zinatengenezwa China, kwa factory inaitwa Foxconn. So yeah… ‘Made in China’ is not the problem.
“Shida ni hii hizo za 12K? Zinafanana tu, but they’re clones. Zinatumia Android, si iOS, and they’re NOT from Apple.Kwa looks yes, zinakam through.But kama unataka ile real iPhone experience… Iyo ya blue messages, FaceTime, na speed ya beast. You gotta pay the price.”
Kwa hivyo swali ni moja uko na iPhone ama iko na wewe?😂

0
0
0