
Turn-around Time:
'' Naweka tu finishing touches ''
''Ndio namalizia''
''Madam nimetoka tu kidogo''
''Kujia Kesho''
Kama Kuna mtu anaweza ku-kumess ukiwa na function ya kuhudhuria ni fundi.
Hizi ni aina za excuses ambazo wao hujitetea nazo kama wajamaliza kushonea client nguo.
Mafundi wanawezaje kurekebisha masaa ya kushona? Kutoka wakati wana-receive order mpaka wakati wanapee client finished product?(Turn-around time)
Tupee tips hapo chini⬇️⬇️⬇️

0
0
0