
Turudi shambani kiasi ,,, ⛏️⛏️🪓⛏️🪓wasee wengi tunachukia #ukulima but hii hustle inapay vipoa sana💯
Bestie alinichapia hii kazi ni poa lakini kuna a lot of #setbacks,, mostly ikikam ni story ya farm inputs ziko expensive sana,, ® Nini ingine hufanya mayouth wanaogopa farming 🧺🧺 tuchapiane kwa comments 👇👇

0
0
0