
Tusaidiane na places za kupata products za ku retail at cheap prices. Here is my thought having travelled to these places several times for business purposes I think it's rightfully to say:
Dubois market... Huku endea weaves n hair products.
Kamukunji ... get cheap beauty products for wholesale. Watu wa biashara za malimali pia here is where you should be heading to.
Eastleigh: Huku eendeeni duvets, suitcases na nguo za duka.
Gikomba; for great second hand clothes for resale ila itabidi uwe patient na uzurure kidogo ndio uweze kupata Mali POA ya kuuza So for those searching for biz ideas za manguo malimali ama beauty shop this r the places to go.
#mythoughts hope itasaidia mtu #positive critics only

0
0
0