Tuzidi kujengana Wasee, Kuna Msemo ambao unasema, ukitaka kwenda haraka enda pekeyako na ukitaka kwenda mbali tembea na Watu, pamoja Tuaenda Mbali 💪💪💪👊👊👊🤝🤝🤝🙏🙏🙏