
๐ธ Types of account, ๐ธ
Kama msee wa biz kukuwa na account kwa bank ama Sacco ukuwa vital sana๐ฏ hii ukusaindia kukuwa na plan ya vile unaeza manage dooh za biz , savings na investment zako๐ธ
๐ก Savings account: Hii account ukuwa ideal for short term goals na emergency fund, it involves accumulating and safeguarding funds, na pia unaeza earn interest on the same ๐ฏ
๐ก Checking account: Hapo msee ukuwa na easy access ya dooh zake kurun day to day activities, mara mingi msee upewa debt card ama ATM ndio kufanya transactions ikuwe rahisi ๐ช
๐ก Investment account: Hii account ukuwa design for growing wealth, incase unadai kufanya investment kwa vitu kama stocks ama gov't bonds hii ndio account fitie ya kufungua ๐ฏ, mostly u_involve asset zenye ukuwa na great returns on investment but hizo asset ukuwa greater risks pia ,
Share experience yako vile unatumia hizi account kumanage dooh za biz na personal expenses pia ,
