
TYPES OF MTUMBA BALES
(b) Grade C Bales Hizi ni zile mitumba za tushida ndogondogo🤌 kama ink spills, kuraruka kidogo, faded colour kiasi, or leather dents. Sellers wengine wanaeza rekebisha izo tushida kabla kupeleka Kwa soko. Shida wakifanya ivo hua wanaongeza bei because of that hua inafanya ikue ngumu kuziuza haraka.
Wadau tupatane Monday niwachapie about other types of Mitumba bales tuzidi kuchanuana, don't forget to upvote, comment and share 🙂
0
0
0