
TYPES OF MTUMBA BALES
(c) Grade B Bales Hizi ziko almost kama za Grade A lakini sio fiti viile. Tumakosa ni kidogo zenye unaeza rekebisha before upeleke mzigo soko. Wasee wengi huuza pieces za hii bale between ksh200 to ksh300 apo.
Tupatane on Wednesday tuchapiane more on the same.
0
0
0