
TYPES OF MTUMBA BALES
(d)Grade A Bales Hizi ni zile high-quality clothes, zimechoka kiasi na ziko na tumakosa kidogo sana. Hizi bales unaeza pata zinauzwa between Ksh25,000 – Ksh28,000 depending on the items unadai kubuy azn kama baby clothes, women’s clothes etc.
Hii ndio ile grade stock husotiwa by quality, zile fiti Wasee huita cameras uuzie Kwa stall ama shop yako, alafu the rest hua zinapelekwa kwa open-air market kuuzwa at a discount.
Tupatane Friday niwachapie about another type of Mtumba bales.
0
0
0