
TYPES OF MTUMBA BALES
(e )Crème Bales Hizi ndizo zile hua mnaskia crème de la crème azn zile mali safi, Mali legit 👌 Hizi hukua na manguo ata zingine hazijawai kuvaliwa zingine hukua zilipeanwa kama donations huko majuu most hukua mpya mpya.
Hii bale hukua the most expensive. This means that unaeza hitaji at least Ksh30,000 or more to get one for yourself.
Finally guys we have come to the end of types of Mitumba bales, next tutaongea about something else, stay tuned.
0
0
0