Uchumi imekua hard na maisha imepanda kwa kila mtu haswa pia kwa mama mboga. Leo kitunguu ikipanda bei ,kesho ni nyanya na the next ni waru.. Wewe kama mama mboga ama mwenye kununua mboga unapitia magumu yepi this time of the year?.

0