Ujanja ya ku-improve profits from Chicken farming business ndio hii hapa wadau. Umewai fikiria kuhusu profits unaeza get from kuku za kienyeji ama mayai zao ukiwa ocha? #ShujaazBiz #Lindafam