
🤔Uki-plan strategy yako unafaa kujiuliza 3 questions:
- What – Customer ana-need nini?
- How – Naweza ku-satisfy vitu customer anataka?
- Why - Ukianza biz, utapata returns on investment umewekelea?
😊Kama business, your best source ya ku-get intelligence kuhusu biz/product/services zako ni kuskiza customers.
🤝Kazi yako main, kama uko na biz ama una-offer any products/services ni ku-make sure customer ako satisfied all the time.
Hii inamaanisha;
- Lazima u-engage na customers.
- Technologies- kujua what is happening kwa market.
- Vile uta-gain advantage na ku-beat compe ukitumia technology poa.
👇Mentor Felix alisema tucheki hii video after session: https://www.youtube.com/wat...

0
0
0