
Ukiamua ni solo content creation, unatumianga tripod kushikilia phone ama unaiseti mahali then you press recording? Ju sometimes mi huona tripods husaidia sana buana, hio ya kuseti phone mahali unafikanga midway recording simu inaslip inaanguka inabidi uende uanze tena. Kama ulikua lip syncing ama dancing inabidi uanze tena kueka hizo facial expressions and moves tena afresh. Simple solution ni tripod my guys. Ata sio lazima tripod, unaeza shika hii Mobile Phone/Pad Bracket ya 380 pale Wingi app. bit.ly/3l3p8tl


0
0
0