
Ukiblog daily kwa 90 days, SEO yako itashika, Blog si ata lazima ati ikue na long essays. Fanya daily 150-word entries na visuals. Google inapenda updates.
đź“–Andika daily: Ata kama ni short reflection, tip, ama story ya day yako.
đź“–150 words tu inatosha: No pressure ya essays.
📖Wewe ni content: Vitu unaskia, unafikiria, unafanya—ndo content.
đź“–Tumia visuals: Ata stock pics ama phone shots. Google anapenda pages ziko na pica
📖Weka headings: Sema direct. Eg: “Soko ya Gikomba Leo—Nini Imechange?”
📖Tumia links: Link na posts zako zingine ama resources. Google anasema "Huyoo ako serious.”
📖Usiblock creativity: Ata kama post ni za Kiswahili-Sheng-English mixed—andika tu. Hiyo ndio voice yako.

0
0
0